TUTARUDI SOON!

OFFICIAL INFORMATION.

Baada ya kufanya kazi kwa kipindi fulani Crew yetu ilikua na majukumu mengine. Sasa tungependa kuwafahamisha kuwa shughuli zetu zitarejea mwaka 2020 baada ya nusu mwaka. Tunatumaini kwamba mtakua mkitusubiri kwa mara nyingine tena!
Tukutane huko!