Harmonize - Bedroom (Video Review)

Kutoka katika album ya Afroeast ya Harmonize, hii ni video review ya video ya Bedroom. Bona vision production tunakusogezea video review hii. 
Humu ndani utasikia maswali manne anayoulizwa Harmonize juu ya kichupa chake. Mr. Africa amejaribu kujibu maswali yote kwa namna ya ku-review. 

SWALI LA 2 & 1 NI MOTOOO... 

2.
"Vipi kuhusu age restriction... 18+"

1. "Vipi kuhusu kurudia video ya zamani kiasi hicho"

Ungependa kujua ni video gani? Angalia video mpaka mwisho. 

Bofya hapa chini ku-watch video
Au bofya hapa ku-download video hii.