Alikiba - Dodo (Video Review) | Marriage Palace.

King Kiba katusogezea video ya Dodo iliyokuwa directed na Rockshot_tz. Video hii ina maadhi ya harusi mwanzo mwisho. Kama ambavyo umekwishakuona ndani ya video Hamisa Mobeto amehusika kama video vixen.
Nikiwa natizama video ya dodo kuna movie ya kihindi iitwayo Marriage Palace, ilikua inakuja kichwani. Na ni kweli kwamba kazi hizi zinaendana. Hiki ndo kilinifanya kuandaa video review hii.
Baadhi ya scene zinaendana lakini pia kuna mambo ambayo yako tofauti kabisa. Mfano mavazi ya kiume yaliyotumika. Kama hujaangalia movie ya Marriage Palace bofya hapa kuangalia mojawapo ya wimbo katika movie hii. 
Sasa chukua muda kutizama video review tuliyo kuandalia.
Bofya hapa chini kutizama video
Au bofya hapa ku-download video hii.