Bytar - Gimme Love Ft Maua Sama (Video Review)

Msanii mpya kutoka Abbah Music Record Label, Bytar amefanya kazi yake nzuri kabisa iitwayo Gimme Love aliyomshirikisha Maua Sama. Video hii imefanywa na Director Adam Juma (Aj).
Kama kawaida Bona Vision Production tunakuletea video review ya wimbo huu.
Ndani ya video hii kuna mambo matatu ambayo yameongelewa. kuna swala la kuonesha sensitive data ya video vixen (tatoo). Uliligundua hilo?
Pia kuna mambo mengine mawili ambayo ni vyema ukayasikia. 
Tafadhali chukua muda wako kuangalia video review tuliyokuandalia.
Bofya chini ku-watch video.
Au bofya hapa ku-download video hii.