Ibraah - Nimekubali (Video Review) | Aiyola Coincidence

Msanii mpya kutoka Konde gang, Ibraah, ametoa nyimbo yake ya kwanza iitwayo Nimekubali. Nyimbo hii kwa namna flani imefanana na nyimbo ya kwanza ya Harmonize akiwa WCB, Aiyola. Nisiandike sana chukua muda kutizama video review hio tuliyokuandalia hapa.
bofya hapa chini kutizama.
Endelea kutufutila katika page zetu.