Zuchu - Hakuna Kulala (Video Review)


Msanii wa WCB wasafi Zuchu ametoa kazi yake ya tatu inayopatikana katika extended playlist yake (ep), iliyotoka april 2020. Katika video hii (hakuna kulala) Bona vision production tumeona mambo kadhaa ukilinganisha na kazi ambazo amekwisha zitoa (kwaru na wana).
Sasa chukua muda wako kutazama video hii tuliyokuandalia hapa chini.Post a Comment

0 Comments