Harmonize - Jeshi (Video Review)

Hakuna jipya chini ya Jua hivyo ndivyo navyoweza kusema. Music video ya nyimbo ya Jeshi by Harmonize, boss wa Konde Gang, imetokea kufanana na baadhi ya music videos kutoka Afrika Magharibi hasa Nigeria. Nisimalize kila kitu tazama mwenyewe haya yote katika video review hapa chini.