Rich Mavoko - Niwahi (Video Review)


Baada ya kimya cha takribani miezi sita Rich Mavoko amerejea na ujio uzito wa ngoma nane (8) katika MiniTape yake. Minitape hii aliizindua Agost 7, 2020. Mpaka sasa Track ya "Niwahi" ndio yenye Music Video. kama ilivyoada Bona vision production tunakuletea music video review yake.
karibu uitazame video review hapa.