Vote For The Best Music Videos 2020 | Bona Vision Production


Panga orodha ya music videos zako bora zaidi za Bongo Fleva kwa mwaka 2020, kuanzia namba moja mpaka namba ya mwisho.

KUMBUKA:

~ Unaweza kupiga kura na kupanga orodha ya music videos zako kila baada ya masaa 5 na kuendelea kwa kutumia email yako, mara nyingi uwezavyo.

~ Zoezi la kupiga kura litahitimishwa tarehe 31 December, 2020.

Bofya hapa chini kupiga kura na kupanga orodha ya music videos zako.

Vote Now

Post a Comment

0 Comments