Top 10: Rayvanny aongoza wasanii walioongeza YouTube subscribers kwa kasi zaidi mwezi May

...

Ndani ya mwezi wa tano (May) wasanii wameongeza YouTube subscribers kwa viwango tofauti. Hitmaker wa ngoma ya 'kelebe', Rayvanny kutoka record label ya 'wcb' ndiye aliyeongeza subscribers wengi zaidi. Tangu tuanze kutoa orodha ya wasanii wanaoongeza subscribers kwa kasi zaidi kwenye mtanzdao wa YouTube, ni mara ya kwanza kwa Rayvanny kuongoza orodha hii. Tazama orodhs kamili.


# Msanii Ongezeko
1 Rayvanny 90K+
2 Mbosso 90K+
3 Diamond Platnumz 80K+
4 Zuchu 80K+
5 Harmonize 60K+
6 Ajella 53K+
7 Ibraah 28K+
8 Lava Lava 27K+
9 Mabantu 17K+
10 Nandy 16K+

Bona vision production tunaandaa orodha hii kila mwezi hivyo kaa karibu na mitandao yetu ya kijamii ili usikose kufahamu tutakacho kiaandaa.

Post a Comment

0 Comments