
Ndani ya mwezi wa saba (July) wasanii wameongeza YouTube subscribers kwa viwango tofauti. Hitmaker wa ngoma ya 'IYO', Diamond Platnumz kutoka record label ya 'wcb' ndiye aliyeongeza subscribers wengi zaidi. Tangu tuanze kutoa orodha ya wasanii wanaoongeza subscribers kwa kasi zaidi kwenye mtandao wa YouTube kwa mwaka 2021, ni mara ya kwanza kwa Diamond Platnumz kuongoza orodha hii. Tazama orodha kamili.
# | Msanii | Ongezeko |
---|---|---|
1 | Diamond Platnumz | 150K+ |
2 | Rayvanny | 140K+ |
3 | Zuchu | 100K+ |
4 | Alikiba | 86K+ |
5 | Mbosso | 70K+ |
6 | Harmonize | 50K+ |
7 | Nandy | 50K+ |
8 | Lava Lava | 28K+ |
9 | Darassa | 26K+ |
10 | Killy | 22K+ |
Bona vision production tunaandaa orodha hii kila mwezi hivyo kaa karibu na mitandao yetu ya kijamii ili usikose kufahamu tutakacho kiaandaa.
0 Comments