Top 10: Diamond Platnumz Aendeleza Ufalme wa YouTube | August 2021 Subscribers Gain

...

Ndani ya mwezi wa nane (August) wasanii wameongeza YouTube subscribers kwa viwango tofauti. Hitmaker wa ngoma ya 'IYO', Diamond Platnumz kutoka record label ya 'wcb' ndiye aliyeongeza subscribers wengi zaidi. Tangu tuanze kutoa orodha ya wasanii wanaoongeza subscribers kwa kasi zaidi kwenye mtandao wa YouTube kwa mwaka 2021, ni mara ya kwanza kwa Kayumba kuingia katika orodha hii. Tazama orodha kamili.


# Msanii Ongezeko
1 Diamond Platnumz 110K+
2 Rayvanny 100K+
3 Harmonize 70K+
4 Zuchu 60K+
5 Alikiba 50K+
6 Mbosso 50K+
7 Ibraah 39K+
8 Nandy 28K+
9 Marioo 17K+
10 Kayumba 13K+

Bona vision production tunaandaa orodha hii kila mwezi hivyo kaa karibu na mitandao yetu ya kijamii ili usikose kufahamu tutakacho kiaandaa.

Post a Comment

0 Comments