Top 10: Diamond Platnumz & Wasafi Waibeba Bongo Fleva | Subscribers Gain October 2021

...

Diamond Platnumz pamoja na wasanii wote kutoka Record Label ya Wcb Wasafi wamekichafua kwenye orodha ya subscribers gain kwa mwezi October, huku Diamond Platnumz akiongoza kwa mwezi wa nne mfululizo. Wasafi wanaendelea kuonesha ubabe kwenye upande wa numbers mitandaoni.

Msimamo wa ongezeko la subscribers kwa wasanii wa Tanzania ndani ya mwezi October 2021 upo kama ifuatavyo.

# Msanii Ongezeko
1 Diamond Platnumz 110K+
2 Rayvanny 100K+
3 Alikiba 70K+
4 Zuchu 60K+
5 Macvoice 55K+
6 Harmonize 40K+
7 Lava Lava 30K+
8 Mbosso 30K+
9 Nandy 27K+
10 Marioo 24K+

Bona vision production tunaandaa orodha hii kila mwezi hivyo kaa karibu na mitandao yetu ya kijamii ili usikose kufahamu tutakacho kiaandaa.

Post a Comment

0 Comments