Usininukuu vibaya. Kutokana na list ya mwezi February kwenye ongezeko la subscribers kwa wasanii wa Bongo Flava, binafsi naona kabisa Diamond Platnumz na Zuchu walitumia vyema dhana ya kwamba wao ni wapenzi ndani ya mwezi wa pili wote (Show ya mahaba ndindindi).
List inaonesha Diamond Platnumz na Zuchu wamefuatana kwa tofauti ya subscribers elfu kumi tu. Huku wanaofata kwenye list yani Harmonize na Rayvanny wakiwa na gap la subscribers elfu thelathini.
Msimamo wa ongezeko la subscribers kwa wasanii wa Tanzania ndani ya mwezi February 2022 upo kama ifuatavyo:
# | Msanii | Ongezeko |
---|---|---|
1 | Diamond Platnumz | 100K+ |
2 | Zuchu | 90K+ |
3 | Harmonize | 60K+ |
4 | Rayvanny | 60K+ |
5 | Marioo | 45K+ |
6 | Alikiba | 40K+ |
7 | Mbosso | 30K+ |
8 | Macvoice | 25K+ |
9 | Anjella | 19K+ |
10 | Jay Melody | 19K+ |
Bona vision production tunaandaa orodha hii kila mwezi hivyo kaa karibu na mitandao yetu ya kijamii ili usikose kufahamu tutakacho kiaandaa.
0 Comments