
Bona vision production tumekuwa tukifanya mahesabu ya orodha hizi za ongezeko la subscribers kwa muda sasa. Haijawahi tokea tukaona gap kubwa kiasi hiki baina ya wasanii kwenye orodha.
Diamond Platnumz ameongoza orodha hii tangu Januari mwaka huu (2022). Katika orodha ya mwezi wa tatu (March) amempiga gap kubwa sana msanii anayefuatia kwenye orodha. Huenda ukubwa huu umetiwa chachu na #FOA Ep aliyoiachia mapema mwezi March. Upi mtazamo wako?
Msimamo wa ongezeko la subscribers kwa wasanii wa Tanzania ndani ya mwezi March 2022 upo kama ifuatavyo:
# | Msanii | Ongezeko |
---|---|---|
1 | Diamond Platnumz | 200K+ |
2 | Harmonize | 60K+ |
3 | Zuchu | 60K+ |
4 | Marioo | 55K+ |
5 | Rayvanny | 50K+ |
6 | Nandy | 42K+ |
7 | Mbosso | 30K+ |
8 | Jay Melody | 27K+ |
9 | Alikiba | 20K+ |
10 | Lava Lava | 20K+ |
Bona vision production tunaandaa orodha hii kila mwezi hivyo kaa karibu na mitandao yetu ya kijamii ili usikose kufahamu tutakacho kiaandaa.
1 Comments
With over 45 tables ready for you, odds are you're in for the time 1xbet korea of your life. The games listed are subject to vary or removing from the slot flooring. Well-dressed men and women wander about, pushing buttons and pulling levers, watching cherries and sevens spin on liquid crystal shows. We've received all of it – every thing from the high-stakes style of blackjack, the fast-paced excitement of craps, to the joys and technique of poker. With 14 tables ready for you, odds are you're in for the time of your life.
ReplyDelete