Top 10: Diamond Platnumz Aibuka Kinara Ndani Ya Mwezi April, Marioo Ndani | Subscribers Gain April 2022

...

Diamond Platnumz anaendeleza ubabe wake kwenye kiwanda cha Bongo Flava kwa kuongoza tena kwenye orodha ya mwezi April.

Jambo kubwa zaidi kwenye orodha hii ni kwamba Marioo ameingia kwa mara ya kwanza kwenye tatu bora. Anatia matumaini ya kufanya vyema zaidi katika siku za usoni.

Msimamo wa ongezeko la subscribers kwa wasanii wa Tanzania ndani ya mwezi April 2022 upo kama ifuatavyo:

# Msanii Ongezeko
1 Diamond Platnumz 100K+
2 Harmonize 80K+
3 Marioo 68K+
4 Rayvanny 50K+
5 Zuchu 50K+
6 Alikiba 30K+
7 Ibraah 26K+
8 Macvoice 22K+
9 Mbosso 20K+
10 Nandy 20K+

Bona vision production tunaandaa orodha hii kila mwezi hivyo kaa karibu na mitandao yetu ya kijamii ili usikose kufahamu tutakacho kiaandaa.

Post a Comment

0 Comments