Top 10: Soma Diamond Platnumz, Harmonize & Rayvanny Walivyo Pigana Vyuma Kwenye List Ya Mwezi May | Subscribers Gain May 2022

...

Diamond Platnumz amepania kweli kweli mwaka huu! Ameongoza orodha ya ongezeko la subscribers hapa Tanzania kwa mwezi wa tano mfululizo.

Harmonize naye hajabaki nyuma amekuwa king'ang'anizi kwenye orodha hii, ameganda ndani ya top three kwa muda mrefu sasa. Maua Sama ameingia kwenye list hii kwa mara ya kwanza. 

Msimamo wa ongezeko la subscribers kwa wasanii wa Tanzania ndani ya mwezi May 2022 upo kama ifuatavyo:

# Msanii Ongezeko
1 Diamond Platnumz 120K+
2 Harmonize 70K+
3 Rayvanny 70K+
4 Marioo  62K+
5 Zuchu 40K+
6 Jay Melody 33K+
7 Maua Sama 22K+
8 Alikiba 20K+
9 Anjella 20K+
10 Mbosso 20K+

Bona vision production tunaandaa orodha hii kila mwezi hivyo kaa karibu na mitandao yetu ya kijamii ili usikose kufahamu tutakacho kiaandaa.

Post a Comment

0 Comments