
Inakuaje? Ni Mr. Africa wa Bona vision production. Msanii wa kizazi kipya kutoka Mwanza, Tanzania Micjack (The Pride Of Mwanza) amethibitisha ujio wa ngoma yake mpya. Hii ni mara baada ya kuchapisha post kwenye mtandao wake wa Instagram akionesha yuko studio na kuandika ujumbe huu:
Nimemaliza jukumu langu. Get ready for my new release.
Kuhusu jina la wimbo pamoja na tarehe rasmi ya kutoa wimbo huu tutakujuza hapahapa.
0 Comments