Our design work: Photos

Hizi ni picha ambazo Mr. Africa nimetengeneza na ninakukaribisha ufanye kazi nasi.


...
Diamond Platnumz. Picha inaonesha kitabu kama mlango wa kutoka kwenye matatizo (jangwani) kuingia kwenye mafanikio (rutuba). Kitabu kama mlango wa mafanikio ni kufanya kazi kwa bidii. Diamond Platnumz nimemtumia kama kielelezo makini (2021).

...
Bad Bird Movie Cover. Imaginary (2021).

...
Clatous Chota Chama. Triple c (2021).

...
Do Or Die Movie cover. Imaginary (2021).

...
Diamond Platnumz na S2kizzy (2020).

...
Harmonize in Car Racing (2020).

...
Zuchu - Gat Me music cover. Imaginary (2020).

...
Prince Dube (2020).

...
Green Diamond (2020).

...
Young Lunya na Mbuzi, mnyama anayemtambulisha (2020).

...
Picha inamuonesha Harmonize pamoja na Tembo, mnyama ambaye ni alama yake (2020).

...
Picha inaashiria msongo wa mawazo alioupata mhitimu wa kidato cha sita baada ya kukosa nafasi ya kusoma katika chuo kikuu cha MUHAS. Niliitengeneza picha hii mara baada ya selection kutoka (2020)

Post a Comment

0 Comments